Minazi Mirefu Primary School – Wikinews, the free news source

Minazi Mirefu Primary School - Wikinews, the free news source

From Wikinews, the free news source you can write!

Dar es Salaam, Tanzania — Mwanafunzi na mvumbuzi wa teknolojia kutoka Tanzania, Hamisi Salehe Mohamedy, amezindua rasmi brand yake ya kidijitali iitwayo HaSwa Digital, inayolenga kukuza ubunifu wa teknolojia na elimu ya STEM miongoni mwa wanafunzi wa Tanzania.

HaSwa Digital inajikita katika kutengeneza tovuti za kielimu, mifumo ya kujifunzia mtandaoni, na miradi ya ubunifu kwa shule za sekondari na taasisi za elimu.
Kwa mujibu wa Hamisi, lengo kuu la mradi huu ni *”kufanya elimu ya sayansi na teknolojia ipatikane kirahisi kupitia mifumo ya kidigitali”*.

Hamisi, ambaye ni mwanafunzi wa Nyeburu High School na alumnus wa Minazi Mirefu Primary School pamoja na Dar es Salaam Secondary School, amekuwa mstari wa mbele katika miradi ya elimu mtandaoni.
Baadhi ya miradi yake ni:

Uhusiano na Taasisi za Elimu

[edit]

HaSwa Digital imetoa pongezi maalum kwa Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE) kwa kazi yao ya ubunifu kupitia jukwaa la opschool.tie.go.tz, ambalo limekuwa msaada mkubwa kwa walimu na wanafunzi katika kupata maudhui ya elimu mtandaoni.

> “Nilianzisha HaSwa Digital ili kuonyesha kuwa teknolojia inaweza kusaidia wanafunzi kufikia ndoto zao. Kila tovuti ninayotengeneza ni hatua moja kuelekea elimu bora zaidi,” alisema Hamisi Salehe Mohamedy.

HamisiSaleheMohamedy2025

File:HaSwaDigitalLogo.png
Nembo ya HaSwa Digital

Template:Habari

Related articles

Location of Tanzania

Collaborate!

Tanzania
Tanzania

Template:Teknolojia
Template:Elimu


Source

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *